Kitafutaji cha Google

4.2
Maoni 1.47M
500M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Kwa vifaa na vitu vyako
• Angalia simu, kishikwambi, vipokea sauti vya kichwani na vifuasi vyako vingine kwenye ramani–hata ikiwa havipo mtandaoni.
• Cheza sauti ili upate kifaa chako kilichopotea ikiwa kipo karibu.
• Ikiwa umepoteza kifaa, unaweza kufuta data yote iliyomo au kukilinda kutoka mbali. Unaweza pia kuweka ujumbe maalum wa kuonekana kwenye skrini iliyofungwa endapo mtu atapata kifaa chako.
• Data yote ya mahali katika mtandao wa Kitafutaji imesimbwa kwa njia fiche. Data hii ya mahali haionekani hata kwa Google.


Kuruhusu ufikiaji wa data ya mahali
• Ruhusu ufikiaji wa data ya mahali ulipo katika muda halisi ili upange kukutana na rafiki au uthibitishe iwapo mwanafamilia alifika nyumbani salama.
Ilisasishwa tarehe
2 Jun 2025

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine5
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

4.2
Maoni 1.41M
Chifu Emanueli Solo.
21 Januari 2025
Utafiti Wa hari ya juu Sana.
Watu 10 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Liner
9 Mei 2024
Sipokei cm sipig
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
JOSEPH EPIMAKI MASAWE
25 Agosti 2023
Ni bora zaidi
Watu 30 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Vipengele vipya

Pamoja na kupata vifaa na vitu vilivyopotea, sasa unaweza
kuendelea kuwasiliana na watu unaowajali. Unaweza kuruhusu ufikiaji wa data ya mahali ulipo katika muda halisi ili upange
kukutana na rafiki au uthibitishe iwapo mwanafamilia alifika nyumbani salama—yote katika programu moja.