Mtandao wa Msalaba Mwekundu na Hilali hushirikisha na kutoa mafunzo kwa watu ulimwenguni kote katika kujiandaa na kukabiliana na janga hili. Zana ya Kudhibiti Mlipuko hutoa taarifa kwa wanaojitolea na wasimamizi ili kuzuia na kudhibiti kuenea kwa magonjwa ya mlipuko katika ngazi ya jamii, na mwongozo kuhusu rufaa ifaayo na utunzaji wa kimsingi kwa wagonjwa.
Ilisasishwa tarehe
16 Sep 2024