Japo sio somo la kawaida, kurudi nyuma kunashughulikia hali ya kawaida inayojitokeza miongoni mwa Wakristo. Wengi wanaanza lakini si wengi ndo wanadumu hadi mwisho. Katika kitabu hiki, Askofu Dag Heward-Mills anatutahadharisha ishara, na kubainisha wazi kwa nini kila Mkristo anapaswa kufanikisha kufika Mbinguni!