Nguvu ya Damu

· Dag Heward-Mills
Ebook
72
Pages
Eligible
Ratings and reviews aren’t verified  Learn More

About this ebook

 Biblia inazungumzia aina nyingi za damu: damu ya mbuzi, damu ya kondoo, damu ya njiwa! Biblia pia inasema wazi wazi kwamba pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo la dhambi. Je, aina yoyote ya damu miongoni mwa damu hizi inaweza kuondoa dhambi zetu? Jibu ni 'Hasha!" "Sasa nini kinaweza kuosha dhambi zetu?" Hakuna kingine isipokuwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu pekee ndiyo yenye nguvu za kuosha dhambi zetu na kuleta wokovu.Katika kitabu hiki muhimu sana, utagundua ukweli mwingi mtakatifu kuhusu damu ya Yesu Kristo. Utaona jinsi damu ya Yesu inavyotoa uzima na jinsi damu ya Yesu ilivyopata umuhimu wake. Utaelewa kuchangamana kwa Roho Mtakatifu na damu ya Yesu. Kwa kweli, kuna nguvu katika damu ya Yesu

Rate this ebook

Tell us what you think.

Reading information

Smartphones and tablets
Install the Google Play Books app for Android and iPad/iPhone. It syncs automatically with your account and allows you to read online or offline wherever you are.
Laptops and computers
You can listen to audiobooks purchased on Google Play using your computer's web browser.
eReaders and other devices
To read on e-ink devices like Kobo eReaders, you'll need to download a file and transfer it to your device. Follow the detailed Help Center instructions to transfer the files to supported eReaders.