Ninang'atuka 2014

· Xlibris Corporation
5.0
1 review
Ebook
89
Pages
Ratings and reviews aren’t verified  Learn More

About this ebook

Ni kitabu chanye hazina ya mashairi yaliyotungwa na mtunzi aliyebobea katika fani ya utunzi wa nyimbo, tenzi na mashairi. Mtunzi wa kitabu ametunga tungo za kitabu hiki akifuata na kulinda maadili ya lugha ya Kiswahili kwa malengo ya kuelimisha, kuburudisha na kufundisha jamii zote. Usomapo kitabu hiki utapata uhondo kamili wa lugha ya Kiswahili kwani mtunzi wa kitabu ametumia maneno ya Kiswahili sanifu, Kiswahili cha mitaani na maneno aliyoyatohoa kutoka lugha mbali mbali ambayo hutumiwa kwa wingi mitaani. Katika kurasa za mwisho za kitabu hiki, mtunzi ameweka kamusi ya Kiswahili cha mitaani ili wale wasioelewa Kiswahili cha mitaani waweze kupata burudani kamili wanaposoma ama wanapoimba mashairi yake.

Ratings and reviews

5.0
1 review
KHAIRUL FAIZI A.RAHMAN
July 26, 2024
Jalada zuri… kichwa cha kuvutia… ninatarajia kukisoma. Saidia uandishi wangu kwenye Google Play Book na Amazon Kindle kwa kutafuta mwandishi Khairul Faizi A Rahman. Asante.
Did you find this helpful?

Rate this ebook

Tell us what you think.

Reading information

Smartphones and tablets
Install the Google Play Books app for Android and iPad/iPhone. It syncs automatically with your account and allows you to read online or offline wherever you are.
Laptops and computers
You can listen to audiobooks purchased on Google Play using your computer's web browser.
eReaders and other devices
To read on e-ink devices like Kobo eReaders, you'll need to download a file and transfer it to your device. Follow the detailed Help Center instructions to transfer the files to supported eReaders.