FC Mezzi 1: Mapumziko

· Lindhardt og Ringhof
電子書
25
頁數
評分和評論未經驗證 瞭解詳情

關於這本電子書

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!

Jake, Nick, and Peter ni marafiki wakubwa. Wanapenda mpira wa miguu na wanacheza katika kilabu kimoja. Jake na Nick wanaingia ligi daraja la kwanza. Walikuwa na shauku kubwa! Walianzia nje kwenye michezo miwili ya kwanza, lakini Jake hakucheza sana kwenye mchezo wa kwanza. Na wakati zimesalia dakika kumi tu za mchezo wa pili, bado alitakiwa kucheza. Huu ni wakati ambao Jake anafanya maamuzi makubwa. Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo! Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

為這本電子書評分

請分享你的寶貴意見。

閱讀資訊

智能手機和平板電腦
請安裝 Android 版iPad/iPhone 版「Google Play 圖書」應用程式。這個應用程式會自動與你的帳戶保持同步,讓你隨時隨地上網或離線閱讀。
手提電腦和電腦
你可以使用電腦的網絡瀏覽器聆聽在 Google Play 上購買的有聲書。
電子書閱讀器及其他裝置
如要在 Kobo 等電子墨水裝置上閱覽書籍,你需要下載檔案並傳輸到你的裝置。請按照說明中心的詳細指示,將檔案傳輸到支援的電子書閱讀器。