Ronin 5 - Kuonyesha

· Lindhardt og Ringhof
eBook
20
หน้า
คะแนนและรีวิวไม่ได้รับการตรวจสอบยืนยัน  ดูข้อมูลเพิ่มเติม

เกี่ยวกับ eBook เล่มนี้

Katika sehemu ya mwisho ya mfululizo wa Ronin, Ronin anasafiri kwenda Meifumado kukutana na hatima yake na kuyaokoa maisha ya Azami. Ni kwa kupigana na Kivuli cha Mfalme na jeshi lake la mapepo wabaya ambapo Ronin anajifunza kuhusu mambo yake ya kale, familia yake na jinsi anavyoweza kutenda kulingana na jinsi alivyo na jinsi anavyoamini. Katika hali ngumu zaidi, lazima Ronin akumbuke jinsi shujaa wa kweli anavyopaswa kuwa.
Mvulana anaamka msituni bila kukumbuka ya yeye ni nani au atokako. Kupitia mfululizo huu, Ronin anapitia matukio mengi ambayo yanamsukuma ukingoni. Njiani, anakutana na watu ambao wanamsaidia kukua na kujifunza mambo yaliyo muhimu. Kwa usaidizi wa mkuki wake wa ajabu na nguvu anazozipata kutoka kwenye mkuki huu, Ronin anapigana kwa wema. Kwa kila tukio jipya, Ronin anakaribia zaidi na zaidi kujitambua hakika yeye ni nani. Jesper Christiansen (b. 1972) ni mwandishi wa asili ya Kideni. Amehitimu katika Shule ya Uandishi wa Hadithi za Watoto na yeye huandika hadithi za matukio na za kubuni za watoto wa kila umri.

ให้คะแนน eBook นี้

แสดงความเห็นของคุณให้เรารับรู้

ข้อมูลในการอ่าน

สมาร์ทโฟนและแท็บเล็ต
ติดตั้งแอป Google Play Books สำหรับ Android และ iPad/iPhone แอปจะซิงค์โดยอัตโนมัติกับบัญชีของคุณ และช่วยให้คุณอ่านแบบออนไลน์หรือออฟไลน์ได้ทุกที่
แล็ปท็อปและคอมพิวเตอร์
คุณฟังหนังสือเสียงที่ซื้อจาก Google Play โดยใช้เว็บเบราว์เซอร์ในคอมพิวเตอร์ได้
eReader และอุปกรณ์อื่นๆ
หากต้องการอ่านบนอุปกรณ์ e-ink เช่น Kobo eReader คุณจะต้องดาวน์โหลดและโอนไฟล์ไปยังอุปกรณ์ของคุณ โปรดทำตามวิธีการอย่างละเอียดในศูนย์ช่วยเหลือเพื่อโอนไฟล์ไปยัง eReader ที่รองรับ