Jifunze kuhusu hii nguvu ya kushurutisha ambayo inaufanya uinjilisti uwe mzuri na mafanikio hata ikiwapo mapingamizi, kisingizio, tuhuma, chuki nk. Kitabu hiki kilichoandikwa na Dag Heward-Mills kinaweza kukufanya uwe mvuna nafsi kuliko ulivyowahi kuwa.