Maumivu na makwazo yamesababisha uharibifu mkubwa sana katika kanisa. Ni ombi langu kwamba kwa maneno haya machache utaokolewa kutoka kwa uovu na laana inayokuja kwa njia ya kwazo.
Tena, zaidi ya hayo, mwanangu, uwe na maonyo: kutunga vitabu vingi hakuna mwisho; na kusoma sana ni uchovu wa mwili!