Hiki ni kitabu cha mwongozo wa maisha. Katika kitabu hiki, utafundishwa jinsi ya kumheshimu mtu, ishara za kukosa heshima, thawabu za heshima na mengine mengi. Kitabu hiki kina funguo za kukusaidia kutunza mahusiano yako muhimu. Usipatikane kukosa katika eneo la heshima!
Heshima ni jambo muhimu ambalo kila mtu anahitaji kujua. Kuheshimu ni amri ya kibiblia. Heshima ni muhimu sana katika uhusiano wako na Mungu. Heshima ni muhimu sana katika uhusiano wako na nabii wako, mchungaji wako, mume wako na watu wengine wenye mamlaka. Usipompa heshima anayestahiki heshima, kamwe hutakuwa na uhusiano sahihi na watu fulani.