Katika enzi hii ya mitandao ya kijamii, usengenyaji umetumika kama silaha ya kuwaangamiza watu na kuchafua sifa zao walizojitahidi kuzijenga.
Katika kitabu hiki cha kufumbua macho, utajifunza mbinu za wasengenyaji na utapata faraja katika uhakika wa hukumu ya Mungu dhidi yao. Kwa mafundisho haya kutoka kwa Dag Heward-Mills, utainuka juu ya upinzani na kuwa mhudumu wa injili asiyezuilika!